Uhondo TV
Uhondo TV
  • 28 014
  • 116 434 881

Відео

NDAISABA AILILIA SERIKALI MGOGORO WA ARDHI KATI YA GEREZA LA RUSUMO NA WANANCHI
Переглядів 9Годину тому
#UhondoTV #Uhondo
SPIKA DKT. TULIA AWAFOKEA MAWAZIRI KISA UTORO BUNGENI, "NI UTARATIBU MBOVU"
Переглядів 3912 години тому
#UhondoTV #Uhondo
TAARIFA KUBWA KUTOKA KENYA, RAIS RUTO ATOA TAMKO HILI USIKU HUU
Переглядів 2,9 тис.13 годин тому
TAARIFA KUBWA KUTOKA KENYA, RAIS RUTO ATOA TAMKO HILI USIKU HUU
TAARIFA KUBWA KUMUHUSU RC MAKONDA ILIYOTUFIKIA LEO
Переглядів 1,1 тис.16 годин тому
TAARIFA KUBWA KUMUHUSU RC MAKONDA ILIYOTUFIKIA LEO
SPIKA DKT. TULIA ATOA UFAFANUZI SAKATA LA MPINA, AMPA MAAGIZO WAZIRI MKUU, "SIO HOJA YANGU BINAFSI"
Переглядів 8 тис.18 годин тому
#UhondoTV #Uhondo
"INATUPELEKA KUBAYA/ VIWANDA VINGI VYA SAMAKI VILIFUNGWA" MBUNGE ANGELINE MABULA
Переглядів 14920 годин тому
#UhondoTV #Uhondo
ALLY KASINGE AUNGURUMA BUNGENI ANENA "RAIS ALITOA MAELEKEZO/WAMEKUMBWA NA MAFURIKO HAWANA MAKAZI"
Переглядів 30120 годин тому
ALLY KASINGE AUNGURUMA BUNGENI ANENA "RAIS ALITOA MAELEKEZO/WAMEKUMBWA NA MAFURIKO HAWANA MAKAZI"
NUSRAT HANJE ASHINDWA KUJIZUIA "KUNASEHEMU HATUJAFANYA VIZURI LAZIMA TUSEME"
Переглядів 14720 годин тому
NUSRAT HANJE ASHINDWA KUJIZUIA "KUNASEHEMU HATUJAFANYA VIZURI LAZIMA TUSEME"
KILUMBE NG'ENDA ACHAFUKWA "HAIWEZEKANI/ SIUNGI MKONO/SISI TUNAJUA"
Переглядів 1,1 тис.21 годину тому
KILUMBE NG'ENDA ACHAFUKWA "HAIWEZEKANI/ SIUNGI MKONO/SISI TUNAJUA"
HALI NI TETE MBEYA, WAFANYABIASHARA WAGOMA KUFUNGUA MADUKA
Переглядів 46221 годину тому
HALI NI TETE MBEYA, WAFANYABIASHARA WAGOMA KUFUNGUA MADUKA
WAKILI AIBUA MAPYA SAKATA LA MPINA KUFUNGIWA, AJA NA UCHAMBUZI HUU WA KUTISHA
Переглядів 16 тис.21 годину тому
WAKILI AIBUA MAPYA SAKATA LA MPINA KUFUNGIWA, AJA NA UCHAMBUZI HUU WA KUTISHA
TAARIFA KUBWA MUDA HUU: ALBINO KUUAWA SASA BASI, MIKAKATI MIGUMU YAWEKWA HAIJAWAHI KUTOKEA
Переглядів 36623 години тому
TAARIFA KUBWA MUDA HUU: ALBINO KUUAWA SASA BASI, MIKAKATI MIGUMU YAWEKWA HAIJAWAHI KUTOKEA
OLE SENDEKA AWASHA MOTO MKALI BUNGENI, AIVAA SERIKALI KIUJUMLA JUMLA
Переглядів 2 тис.23 години тому
OLE SENDEKA AWASHA MOTO MKALI BUNGENI, AIVAA SERIKALI KIUJUMLA JUMLA
"MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGANJI HAIPO /TUNATENGENEZEWA NA WANASIASA" MWENYEKITI KIFUKO
Переглядів 1332 години тому
"MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGANJI HAIPO /TUNATENGENEZEWA NA WANASIASA" MWENYEKITI KIFUKO
MBUNGE TAUHIDA AJA JUU BAJETI KUU YA SERIKALI, "TUMESHINDWA KUWEKEZA KWENYE ELIMU"
Переглядів 4122 години тому
MBUNGE TAUHIDA AJA JUU BAJETI KUU YA SERIKALI, "TUMESHINDWA KUWEKEZA KWENYE ELIMU"
ASKOFU GWAJIMA AMKAANGA MPINA, "MDOGO WANGU UMEKOSEA, ALAANIWE/ OMBA MSAMAHA"
Переглядів 7 тис.2 години тому
ASKOFU GWAJIMA AMKAANGA MPINA, "MDOGO WANGU UMEKOSEA, ALAANIWE/ OMBA MSAMAHA"
KUNAMBI AMMWAMBIA UKWELI WAZIRI, "HUU MTEGO USIINGIE, NCHI NZIMA KUNA KERO, SIUNGI MKONO HOJA"
Переглядів 2,4 тис.2 години тому
KUNAMBI AMMWAMBIA UKWELI WAZIRI, "HUU MTEGO USIINGIE, NCHI NZIMA KUNA KERO, SIUNGI MKONO HOJA"
MBUNGE DKT. CHAYA, "SUKARI NI VITA, WACHUKULIWE HATUA KALI/ KUNA WATU WANAHUJUMU NCHI"
Переглядів 1,1 тис.2 години тому
MBUNGE DKT. CHAYA, "SUKARI NI VITA, WACHUKULIWE HATUA KALI/ KUNA WATU WANAHUJUMU NCHI"
MBUNGE CONDESTER AFOKA BUNGENI "WATU WANAGOMBANA, WAAMBIENI WANANCHI UKWELI, TUIFUTE HIYO KAULI"
Переглядів 1,1 тис.2 години тому
MBUNGE CONDESTER AFOKA BUNGENI "WATU WANAGOMBANA, WAAMBIENI WANANCHI UKWELI, TUIFUTE HIYO KAULI"
DKT. BASHIRU AMJIA JUU TABASAMU KISA MPINA, "NI MTETEZI WA WANYONGE, WABUNGE WAZALENDO TUKO WACHACHE
Переглядів 51 тис.2 години тому
DKT. BASHIRU AMJIA JUU TABASAMU KISA MPINA, "NI MTETEZI WA WANYONGE, WABUNGE WAZALENDO TUKO WACHACHE
"MPINA ANA NIA OVU, KAMA DALALI/ WANAFANYA BIASHARA KWA MASLAHI YAO" MBUNGE JACKLINE MSONGOZI
Переглядів 9002 години тому
"MPINA ANA NIA OVU, KAMA DALALI/ WANAFANYA BIASHARA KWA MASLAHI YAO" MBUNGE JACKLINE MSONGOZI
KIBAJAJI AMVAA VIKALI MPINA BUNGENI, "NITAENDA KUMSHTAKI KWENYE NEC, HALIKUBALIKI"
Переглядів 7942 години тому
KIBAJAJI AMVAA VIKALI MPINA BUNGENI, "NITAENDA KUMSHTAKI KWENYE NEC, HALIKUBALIKI"
MBUNGE MASACHE NJARU KASAKA AFUNGUKA BUNGENI, ALIA NA ISHU ZA KIKODI
Переглядів 2682 години тому
MBUNGE MASACHE NJARU KASAKA AFUNGUKA BUNGENI, ALIA NA ISHU ZA KIKODI
MBUNGE FIYAO ALIPUKA BUNGENI, ALIA NA SAKATA LA WAFANYABIASHARA, "NI RAHISI KUFILISIKA"
Переглядів 1682 години тому
MBUNGE FIYAO ALIPUKA BUNGENI, ALIA NA SAKATA LA WAFANYABIASHARA, "NI RAHISI KUFILISIKA"

КОМЕНТАРІ

  • @ahmedmakame1687
    @ahmedmakame1687 28 секунд тому

    Watu mishipa inawatoka kwa kutetea wala rushwa

  • @fatumasaidimmependezamjeng8994
    @fatumasaidimmependezamjeng8994 24 хвилини тому

  • @ligwamikoba6336
    @ligwamikoba6336 42 хвилини тому

    WANASHERIA WA NCHI HII NAWAOMBA MCHUKUE HATUA YA DHARULA KUMLINDA MH;LUHAGA MPINA

  • @ligwamikoba6336
    @ligwamikoba6336 45 хвилин тому

    Mpina yupo sahihi,ila inaonekana hilodili lilikua na viongozi wakubwa hapa nchini ndiomaana alie na khaki kajikuta anatuhuma ya kujibu

  • @YOHANAANJERO
    @YOHANAANJERO 49 хвилин тому

    anae chukia Giza hupenda kukaa nuruni kmnda makonda wew ni wakili wa Mungu songa mbele kmdhihirisha mfalme wa juu mbinguni

  • @LovelyFishingRod-ij7mk
    @LovelyFishingRod-ij7mk Годину тому

    Wale wale 😂😂😂😂

  • @frankmwinuka3413
    @frankmwinuka3413 Годину тому

    Ni vizuri maduka yakafunguliwa. Si maduka yote yanafungwa. Maeneo ambayo maduka hayajafungwa sasa hivi wanauza sana. Hivyo ni vizuri tukawasikiliza viongozi wetu wa wafanyabiashara tufungue maduka.

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku Годину тому

    Kama rais hamuheshimu mfanya biashara inakuaje mfanya biashara amuheshimu huyu mzanzibar

  • @janetgilbert3590
    @janetgilbert3590 Годину тому

    Big minds marvelous

  • @AdiaMwinyi
    @AdiaMwinyi Годину тому

    Bado akuna unachokiongea sis km laia tumeshachoka na izo kodi za kila haina mpka maisha yamekua magum tunataka kodi ishuke asilimia 40% ibaki asilimia 60%

  • @SoligiZacharia
    @SoligiZacharia Годину тому

    Kweli kamala kamala ya tarula hatutaki walikuwa wapi mpaka deni linafika 100000

  • @FortyMwamba-kq5js
    @FortyMwamba-kq5js Годину тому

    Tunakuja

  • @froma3732
    @froma3732 Годину тому

    Bashir anasema nchii hii ni ya Ujamaa 😊😅😅

  • @KakamieHassan
    @KakamieHassan Годину тому

    Mi nafikili mwigulu nafasiyako imekushinda jiudhulu tuachie nchi yetu unatuumiza sana

  • @AnnoyedDove-oo3kk
    @AnnoyedDove-oo3kk Годину тому

    Dodoma tena mgomo dar solution dom 😂😂😂

  • @VcentPaul
    @VcentPaul Годину тому

    Ukombozi wetu wananchi ni kugoma kujiandisha kupiga kura , na mda wao wa kututawala ukiisha wananchi wataamua

  • @kheriakida3309
    @kheriakida3309 Годину тому

    Wafanya biashara Wote Tanzania Tafuteni Mwenyekiti, huyo sie kabisa

  • @Luganoamos-jv5in
    @Luganoamos-jv5in Годину тому

    Hyo siyo mwenyekiti,tayari ameungia kwenye mfumo😂😂

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi 2 години тому

    Huyu mwenyekiti mpumbavu sana ni chawa mkubwa sana,hawa viongozi hawafai kabisa

  • @abeidsabuni5026
    @abeidsabuni5026 2 години тому

    Wataheshimika pale ambapo matatizo ya walalamikaji yatafanyiwa kazi.... Alieshiba hamjui mwenye njaa kwakweli.....

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 2 години тому

    Hivi Bado watu wanasikilza bunge na maisha tulivopigika tukomae kwenda kwenye nyumba za ibada ndo kuna majibu ya kweli amina

  • @user-fk4st8qj2k
    @user-fk4st8qj2k 2 години тому

    Mnalalamika kuwa faini ya M 15 usipotoa list eti ni kubwa mno,unawasiwasi gani kama wewe ni mwaminifu??hao wanaolalamika niwalewatoa rushwa kwamba hata akikamatwa hajatoa list na kwa vile faini ni ndogo anawezakuilipa au akashawishi atoekidogo kama rushwa.Serkali iliangaliehili faini ya M 15 ni sawakabisa.

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 2 години тому

    Serikali ndo inatakiwa kuwabembeleza wananchi sio wananchi kubembeleza serikali,nasio ombi wala fadhila kwa serikali kutimiza majukumu yake ni lazima kutimiza wajibu wao

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 2 години тому

    huyu anakula rushwaaa

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 2 години тому

    uyu jamaa anakula rushwaaaa

  • @user-fk4st8qj2k
    @user-fk4st8qj2k 2 години тому

    M/kiti wawafanyabiashara sisi wafanyabiashara wenzio wawe wanatoa list,mimi huwanaumia sana ninaponunuakitu nibembeleze kupewa list au unaambiwa mtandao hauposawa.Naona mnataka mpate fair kwenye serkali ila nyinyi mnaiumiza serkali msipotoa list.

    • @PhilipoMwita-wc1ku
      @PhilipoMwita-wc1ku 57 хвилин тому

      Bro kama hujajua ukitoa list kwa watu WENGI ndivyo serikali inakuona kwenye mfumo kwamba ww unauza sana pia unamahela sana wanakuongezea kodi

  • @ibrahimwarsame9309
    @ibrahimwarsame9309 2 години тому

    Duuu wabonge noma hamna kazi nyie huyu Wakili ni mzigo anatafuta kik hakuna jipya tafuteni kazi

  • @babuummary7723
    @babuummary7723 2 години тому

    Kiburi kwenye ela ya mtu acha ujinga ww acha kushobokea hao wanasiasa utaumia

  • @godfreybigeyo4356
    @godfreybigeyo4356 2 години тому

    Ccm ni ngenge la vibaka

  • @ramadhanzenj9111
    @ramadhanzenj9111 3 години тому

    Mbona leo umeongea pumba nyingi siku ile mulipoongea na waziri mkuu Kariakoo si alisema mambo yote yatashughurikiwa mbona bado yako pale pale vipi kuhusu yule mfanyabiashara aliyekuwa anaidai Tra milioni mia tisa toka utawala wa Magufuri kama ni wasikivu walimulipa na nilisikia ashakufa sasa unatutisha na sura ya pili ya Mama ndiyo nini sasa

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz 3 години тому

    Loo mungu utuhurumie. Tanzania ya nyerere imekuwa hivi ni aibu sana. Maslahi ya duniani hakuna atakayeondoka nayo. Wema tu. Apendaye fedha hatashiba fedha. Ndugu. Hazijawahi kujaa. Mwogopeni mungu.. madaraka ni kutumikia na sio kutumikiwa.

  • @lodnessEnterprises779
    @lodnessEnterprises779 3 години тому

    Mhhhh ndio mwenyekiti huyo tunayemtegemea awasemee watu, duh

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 3 години тому

    Msifungue 😂 Machinga wapo watauzaa. Maana nyie mkifunga mnajikomo coz ao machinga mnawauzia nyie vitu ili wao wauzee usoni mwenu saivi imekuwa chungu😂

  • @selemanibwango5628
    @selemanibwango5628 3 години тому

    Tanzania wasema kweli hawahitajiki.

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 3 години тому

    Kkooo ndio sehemu namba Moja kwa kutokulipa. Kodi ,mzigo wa milioni 3 unapewa risti ya 50,000/ namba Moja kwa kukwepa Kodi kkooo😊

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 Годину тому

      Na wewe unayepokea risiti ya 50,000/- kwa mzigo wa mil.3/- umeripoti kwa TRA au polisi? Usiandike kutaka kunogesha soga, huo ni umbea!

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 3 години тому

    Acheni msifungue hata mwaka

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 3 години тому

    kuna uozo mkubwa, ilitakiwa hao mawaziri wajiuzuru

  • @KimanguShemwaliko-ht2jr
    @KimanguShemwaliko-ht2jr 3 години тому

    Mtien kamba huyu kichaa au au chawa

  • @Ndushikayungilo722
    @Ndushikayungilo722 4 години тому

    Umenena ukweli mbunge

  • @fatumasaidimmependezamjeng8994
    @fatumasaidimmependezamjeng8994 4 години тому

  • @geraldgogadi7054
    @geraldgogadi7054 4 години тому

    Kulikua na haja gani ya kushukuru wote ulowashukuru

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 4 години тому

    Nchi ya wajomba

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 4 години тому

    Mwindaji amekuwa mwindwa...the hunter being the hunted

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 4 години тому

    Hayo maneno na ninyi ni zamu yenu kukaa nje .nchi imewashinda

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 4 години тому

    Nyuma yaBashe kuna maafisadi wengiwakieemo wafanyabiashara nahataserikali nawanasiasa wanakisingizio chaetikumudharau spika huku nje wananchi tunaishangaa serikali kushambulianakudhalilisha viongoziwawananchi kwakuwa wabunge niwawakilishi wawananchi.

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 4 години тому

    Bunge limewakosea sana wananchi kwa kumwonea aliesema ikweli mbunge mpina yuko sahihi juu ya alolisema mwenye kosa ni mwigulu na bashe ndo walitakiwa kuadhibiwa spika nae haeleweki ccm kwa ujumla hakuna cha maana mnachokijadili hapo ndani uonevu mtupu mungu awalaani nyinyi wote mliomwonea msema kweli

  • @chrissamani7921
    @chrissamani7921 5 годин тому

    Sevice lev ni dhuruma kubwa, nakumbuka zamani hizo, choo cha soko tulikuwa hatulipii, soko lilifagiliwa na wahudumu wa soko, takataka,zilizolewa na wahudumu hao, hapo tulistahiri kulipa sevice lev, siku hizi kila kitu tunalipa wenyewe, sasa hiyo sevice lev nalipia kitu gani? Maana hakuna huduma nisiyolipia moja kwa moja!

  • @mr.mchambuzitv5293
    @mr.mchambuzitv5293 5 годин тому

    Dable kick smati jini zina uwavijana ukudani selikali tuwe makini na taifa linaangamia

  • @EmanuelMinja-fv9dn
    @EmanuelMinja-fv9dn 5 годин тому

    Uchawa mpina yupo timam